Friday 6 March 2015

MAREHEMU JAPHET KABYEMELA AAGWA NA WANA USHARIKA KANISA KUU BUKOBA,WAJUKUU WAZUI KWA MUDA JENEZA LISIINGIE NDANI WAPEWE CHAO,MAREHEMU KUZIKWA 7-3-2015 KANYIGO.

 Ilikuwa ni majonzi makubwa katika kanisa la usharika kanisa kuu Bukoba pale mamia ya waumini walipoudhuria misa na kumuaga mzee wa kanisa marehemu Japhet Kabyemela, Wanausharika wengi walibubujikwa machozi pale mchungaji alipokuwa akieleza sifa za marehemu katika kuhudumia kanisa wakati wa uhai wake,Marehemu aliga dunia mnamo tarehe 2-3-2015 katika hospital ya rufaa ya Bugando  jijini Mwanza na atazikwa  nyumbani kwake Kanyigo 7-3-2015.
 Ni nyumbani kwa marehemu  Bukoba mjini muda mchache kabla ya kutoa mwili wa marehemu mortury.
 Mwili wa marehemu ukitolewa hospital  kupelekwa kanisani kwa ajili ya ibada  ya kumuaga.
 Mwenyekiti wa kamati ya mazishi Bw Mjuni Kataraiya.
 Kushoto Bw Deo Rugaibura akisalimiana na mwanafamilia.
 Wajukuu.
 Mtoto wa marehemu.

 Wajukuu.
 Majonzi.
 Heshima za mwisho.
 Wakati mgumu
 Wajukuu  wakitoa heshima za mwisho.


                        
 Mwl Peace mtoto wa marehemu.


 Mwili ukitolewa kanisani kupelekwa nyumbani kwake.
 Kamati ya usafiri.
 Msafara ukitanguliwa na pikipiki.
 Wajukuu walipanda pikipikiki.
 Mh Murungi Kichwabuta(kulia)
 Mwili umefikishwa nyumbani kwa marehemu.
 Hapa ndio wajukuu wa kafunga mlango wa nyumba na kuzuia jeneza wakidai wapewe chao , kwa maana ya milioni moja ambayo marehemu aliwaahidi pindi akiwa hai,ilikuwa ni shidaaaaa.
 Wajukuu wakaendelea kusimika, kwa lugha ya mtaani.
 Jeneza likiwa chini.
 Akafika mzee wa busara na mvi zake,Mzee Kilyanga akaweka mjadala na baadae wakafikia muafaka , wakapewa chao na milango ikafunguliwa.
 Kiongozi wa wajukuu akiweka mambo sawa.
 Walipokabidhiwa chao wakashangilia.
 Wajukuu ni shidaaa
 Wajukuu waliteka mpaka msalaba.
 Hatimae mwili ukaingia ndani,endelea kufuatilia jamcobukoba.blospot.com,kujua nini kitajiri katika safari ya mwisho ya mzee Japhet Kabyemela