Wednesday 4 March 2015

KATA YA BILELE CCM WAJIPANGA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015,MABALOZI NA WAZEE WAASISI WA KATA WATOA MAWAZO YAO.

 Mwenyekiti wa ccm kata ya Bilele Taufiq Sharif akizungumza na wanachama wa ccm kata ya Bilele, mabalozi na wazee katika mkakati maalum wa kuelekea katika uchaguzi mkuu 2015.
 Wanachama wakimsikiliza mwenyekiti wao.
 Katibu mwenezi wa kata ya Bilele upenda kujihita Nape wa Bilele akieleza baadhi ya mikakati iliyowekwa na ofisi ya chama kata Bilele kuhakikisha wanashinda uchaguzi 2015 kwa kishindo, N a kata Bilele ni miongoni mwa kata ambayo imeshinda mitaa yote katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
 Mmoja wa wapenzi wa ccm na mwimbaji mkubwa wa Taarabu katika kundi la jamiri Taarabu.
 Bw Rashid Goronga , mchumi wa kata Bilele.
 Mzee Uredi, muasisi wa kata Bilele.
 Bw Udi, mwenyekiti wa mtaa ambae ametangaza nia ya kugombea udiwani kata ya Bilele.
 Ni wanachama wakiwa katika ukumbi wa Lwabizi plaza.
 Bw Mukhusini Kichwabuta .
w
 Waasisi.
Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com
 Mwenyekiti Bw Taufiq akiteta jambo na Bw Bushira ambae upenda kujihita Kinana wa Bilele.
Wazee wa kata Bilele.

No comments:

Post a Comment