Tuesday 3 March 2015

KAGASHEKI AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA SOKO KUU BUKOBA.

 Mh Kagasheki akizungumza  mmoja wa mfanyabiashara wa kuuza ndizi soko kuu.
 Akisikiliza kero za wananchi
Endelea kuangali jamcobukoba.blogspot.com

1 comment:

  1. Moja ya Hoja anazopaswa kujibu ni MGOGORO wa ujenzi wa SOKO kuu BUKOBA,amesema nini juu ya hilo kiongozi wetu mpendwa!

    ReplyDelete