Tuesday 3 March 2015

MZEE JAPHET KABYEMELA AAGA DUNIA KATIKA HOSPITAL YA RUFAA BUGANDO.

 Ni picha ya marehemu Japhet Kabyemela wakati wa uhai wake, Marehemu ameaga dunia jana usiku katika hospitali ya rufaa Bugando Mwanza ,Kwa Mujibu wa maelezo ya mtoto wa marehemu Mwalimu Peace Kabyemela  mwili wa marehemu unasafirishwa kuelekea Bukoba na utawasili Bukoba leo jioni na Mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu Kanyigo Kashenye   .Tarehe ya mazishi itatangazwa baada ya familia kukubariana mara mwili utakapofika Bukoba. kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Bukoba mjini kata ya Miembeni  karibu na Nbc Club.
 Enzi zao uhai wao na mke wake.
 Waliokaa wa kwanza kulia ni marehemu katika ujana wao.
 Katika ujana wake.
  Ni waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Bukoba.
 Dada wa marehemu.
 Waombelezaji wakisubiri mwili kufika.
 Majirani wakiandaa chakula.
Tutaendelea kuwaletea matukio  mara mwili wa marehemu utakapowasili jioni ya leo.

2 comments: