Wednesday 30 December 2015

JUSTUS LAMBERT NA MARIA RWEYEMAMU WAFUNGA NDOA,KIJIJI CHA BUGANDIKA CHASHUHUDIA WATU MASHUHULI KUTOKA KILA PEMBE.

 Ni pande za Bugandika Bukoba,wananchi walishuhudia umati wa watu kutoka sehemu mbalimbali wakiwa na magari ambayo hayakuzoeleka katika kijiji hicho yakipita huku na kule kuelekea katika harusi ya Bw Justus Lambert na Bi Maria Rweyemamu walioamua kuachana na ukapera na kuwa mwili mmoja, Mandhari nzuri na uhodari wa kutengeneza eneo la ukumbi ,uliopambwa naMama Matungwa  wa  walkgard Transt.Watu mashuhuri,viongozi wa kiserikali na kisiasa,ndugu, jamaa,majirani  walifika ,Katika upande wa burudani Bendi ya Kalunde kutoka jijini Dar, Kakau Bendi na Ngoma ya Ruzinga walikuwepo.
 Ni gari walilotumia maharusii.
 Bw Harusi katika ubora wake.
Katika ni baba mzazi wa Bw Harusi Omulangira

Ma padre walioongoza misa.
Ni kwaya ya Bugandika


Nakuvisha pete hii iwe ishara ya upendo na uaminifu kwako.
Mme wangu pokea pete hii iwe..........
Omulangira Lambert kaka wa Bw Harusi akitoa sadaka.
kwaya katika ubora wao.
Omurangira Sande akitoka kanisani.
Shughuli ilikuwa peve nyumbani kwa Bw harusi.
Mama wa Bw harusi akitokea kanisani ,mc Rutakwa akimkaribisha.
Baba wa Bw harusi akitokea kanisani.
Kalunde bendi katika ubora wao, dada Debora akifanya yake.


Bw Deo Mtalemwa katika pozz




Mwenyekiti wa sherehe Bw Kashasha akifungua sherehe.
Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com,tunaendelea kuweka picha.