Friday 2 January 2015

JUSTUCE RUGAIBULA AMKABIDHI NYUMBA MPYA MAMA YAKE MZAZI NA GARI,ASEMA NI NDOTO YAKE YA MUDA MREFU IMETIMIA. UNAIKUMBUKA HABARI HII ILIANGALIWA NA WATU 11,200 KWA SIKU MOJA.

 Ni Justuce Rugaibura(Omurangira) akiwa na mke wake Kisha wanaonekana wakiwa na nyuso za furaha baada ya kumkabidhi nyumba mpya  mama mzazi wa Juastuce Ma Graice Alexendar.Bw Justuce akiongea taratibu na kwa uhakika alisema unapopigana vita kwa kumtegemea mungu ni lazima ushinde, maana yeye ndio kila kitu,akieleza historia fupi wa ujenzi wa nyumba ya mama yake alisema anamshukuru mungu ndoto yake imetimia ya kumkabidhi nyumba mama yake.
 Ni Graice 1 na Jojo, kwa ufupi inamaanisha moja ya Baba na nyingine ya mama,sasa swala bei fanya kuingia kwenye mtandao uliza mwenyewe.
 Ni makaburi ya ndugu.
 Eneo la ndani , nyumba ya mama.
 Wa pili kulia ni Mama mzazi wa Justuce akiwa kwenye ibada ya kutabaruki nyumba yake.
 Padre akiendelea na ibada ya kutabaruki nyumba.
 Pendeza.
 Wageni kutoka Bukoba mjini.
 Optat katibu katika pozz.
 Mujuni Kataraioya akiwasili eneo la tukio.
 Kulia ni Bw Hafith Karugira ambae kwa kiasi kikubwa shughuri hii ameisimamia mwanzo  mwisho.
 kwa kweli wakolaa, ebintu byashemela, ni maneno ya Bw Mzee Kabaka akimueleza Bw Afith.
 Bw Bashiru  Badae, na wenzake wakiwasili.
 Bw Hamimu Kangeze na BW majid.
Mzee Rugambwa
 Shughuli ya kukata utepe kama ishara ya kutabaruku nyumba.
 Maji ya baraka.
 Mama akiwa na furaha.
 WAKIBARIKI MAKABURI
 mAMA Jojo in action.
 Bingwa wa mabinwa katika pozz.
 Erick Rugalabamu na farid Rugusha.
 Jamco akisalimiana na Farid Rugusha.
 Hafith akiongea na Bw Justuce ,hakika  shughuli ilifanaa.
 Mc Braka katika pozz.

 Chakula Time.

 Wajukuu.
 Hawa watu wakakutana kiti kimoja ilikuwa ni faraja sana.
 Al- amin akimpongeza omutangira Justuce.
 Waitu wayuka, Hongera sana.
 Picha ya pamoja na Mablogger.
 Hafidh alishangaza wengi, maana ni kwa nadra sana kuvaa suti, ila kwa shughuli hii alivaa, big up Hafith.
 kWA NEEMA , MAMA ANATOKA KIVINGINE NDANI YA NYUMBA.
 Ni nani kama kama.
 Makofi kwa mama.

 Makofi kwa mama.
 Kandanda na ujumbe wake wanawasili eneo la tukio.
 Maisha ya kiendelea.
 Mwl Karugira na mama.

 Asimwe kwa raha zake.
 Muganyizi, bonge la suti.
 Wanawasiri, bw BASIBIRA, BUSHIRA NA SHAFI.
 Keki ya mama.

 Mama Jojo na wanae.
 Mjukuu mkubwa akikata keki na bibi.
 Karibu keki bibi.
 Wajukuu wakitoa zawadi.
 Wakatamka zawadi wajukuu, wakampa bibi yao garin  aina ya Noah.
 Bi bi akakabidhiwa GARI KWA RAHA ZAKE.
OMURANGIRA  Justuce Rugaibula akatoa neno na kueleza jinsi ndoto yake ya kumjengea nyumba mama ilivyotimia,alisema UKIPIGANA VITA NA MUNGU UTASHINDA.

 picha ya familia makaburini.
 Muganyizi.
 Watu wa one way Bukoba mjini walifurahi sana.
 Ukachezwa muziki.

Hakika ilikuwa ni siku ambayo watu walifurahi sana, Rais wa kanda ya ziwa kwa raha zake.Jamcobukoba.blogspot.com tunakupongeza sana Omurangira   yako mzazi..Justuce kwa kitendo na historia uliyomfanyia mama yako mzazi.

No comments:

Post a Comment