Monday 29 December 2014

PROFESA MUTAHABA ASHEREKEA MIAKA 70 YA KUZALIWA.

 Kulia ni Prof Mutahaba akiwa na mke wake, siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa,Hafla hiyo iliyoandaliwa na na wanae  watano ilifanyika  nyumbani kwa Profesa  Kabale Kiziru.
 Ruge Mutahaba, mtoto mkubwa wa prof akimpokea Mzee  Kabakaki kutoka Maruku.
 Mzee Kyatwa kutoka Katoma akiombea chakula.
 Kemi Mutahaba (kushoto)akiwa na wifi yake.
 Sehemu ya vinywaji.
 Maprofesa zaidi ya sita walihudhuria hafya ya kuzaliwa ya prof Mutahaba.

 Happy Birthday prof Mutahaba.
 Mzee Joseph Masabala akitabasamu.
 Dada mtu kutoka ufaransa akimrisha keki kaka mtu.
 Mtu na mkewe wakilishana keki,wayuka Ta Profesa.
 Ruge Mutahaba akiwa na msaidizi wake katika maswala ya malipo na manunuzi Bi Fauzia wakifurahi na camera.
 Fauzia akiwa  na mama Ruge.
 Ruga Masabala akiwa na Edith Mashasi.
 Watoto watano wa Profesa Mutahaba walioandaa hafla ya kumpongeza baba yao kwa kutimiza umri wa miaka 70.
 Jembe la Ruge Mutahaba.
 Picha na wajukuu.
 Picha na watoto.
 Ndiwaita family.
Jamcobukoba.blogspot.com inawatakia kheri ya mwaka mpya 2015 wadau wote.

No comments:

Post a Comment