Wednesday 31 December 2014

MKESHA WA MWAKA MPYA MAENEO TOFAUTI BUKOBA,KARIBU 2015 (IJUKA) KUMBUKA....

 Murungi Kichwabuta akiwa na Bi Farida Kasimu wa kitendaguro wakiwa pande za Busimbe wakiusubiria mwaka mpya, hakika watu walipendeza sana.
 Mr & Mrs Robert Matungwa wakiwa pande za Walkgard Transit wakisherekea mwaka mpya 2015, Jamco blog kipekee inapenda kutoa shukrani za dhati kwa wapendwa hawa kwa namna walivyotusupport katika shughuli zetu, lakini pia Big up  sana Mama Matungwa  ni mmoja wa wanawake wachache jasiri na wachapakazi,Tumeshuhudia mama huyu akijariri kazi zake za upambaji kwa yeye mwenyewe kufanya kwa mkono wake na kusimamia mwanzo mwisho, mama huyu ni mahiri sana katika upambaji wa shughuli mbalimbali , Hongera sana mama Matungwa.
 Ni muonekano  wa ming'ao tofauti angani.
 Nawakubari sana wahaya kwa utaratibu wa kurudi nyumbani nyakati za sikukuu, meza hii nikiitazama, watu wametoka Uganda, Dar, zambia nk , hii inapendeza sana Happy New YEAR 2015.
 Mrs Kashebo (kushoto) akifurahi na camera yetu.
 Unakula kitu nyama choma.
 Mzee Ndiwaita, akiwa na Bw Kashebo.
 Bw Protas Ishengoma akiwa busy kwenye mtandao
 Bw Chichi akiwa na Mrs Protas Ishengoma,Bw CHICHI nI MMOJA MWA MADJ WA ZAMANI kutoka  kijiji cha KAINABUSHWA alipata wasaa wa kuwarusha wageni waalikwa kwa nyimbo za zamani ilipotimu saa sita, hakika Chichi ni bonge la Dj.
 Kulia ni Bw Jonson Mbeikya mkurugenzi wa Gift shop.
 Bi Kemi Mutahaba akiwa na Jamco.
 Bi Kemi AKIWA NA bW Chichi kutoka kijijji cha  Kainabushwa.
 Ni Saa sita kamili Happy New year 2015.
 Hongera, waiyuka no mwaka, hongera...
 Wayuka no mwaka.
 Watu wakayarudi mayenuuuu..
 Mungu ni mwemaaa
 Happy new year.
 Enzi izooooo.
 Bw Kazimoto.
 Jamco na Bw Ben Mbeikya.
 Ainee Mashasi akiwa na Koku Mutahaba, happy new year
 Kwaitooooo.
 Katikati ya barabara ya Busimbe watu waliwasha moto , kama hivi, dah...
 Katikati ya Barabara  iendayo Ntungamo seminary.
 Pande za Walkgard Transit.
 Happy new year ,Bw Bayona.
 Watu wako busy na ndugu zao kuwapongeza na mwaka mpya.
 Happy new year.
 Julieth Mboto na Jovensi Projestus, Happy new year.
 Enjoy Ngaiza na wenzake Happy  new year.
 Cheers.
 Liberata Bashereka (MWENYE GAUNI LA VIDOTI VYEUPE) akiwapongeza kwa njia ya mtandao ndugu , jamaa na marafiki.

 Sharifa Kalwani na Bi Liberata , happy new year.
 Busimbe hiyooo.
Kulia ni Juliet Mboto,Jovence Projestus na Teddy Mboto wakiwa walkgard Transit,WAKIUKARIBISHA MWAKA 2015, Jamcobukoba.blogspot.com inawatakia heri ya mwaka mpya, Tunawashukuruni sana kwa support kubwa mliyotupa,tunazidi kuwakaribisha kwa matangazo,Tunaamini kila mmoja wenu anatambua ubora wa matukio tunayorusha,hali ya mwonekano kwa maana wa ubora wa picha zetu mnaona, lakini pia tunafanya kazi za video kwa kiwangu  na ubora wa hali ya juu, kwa mawasiliano zaidi tupigie 0788-707027.

No comments:

Post a Comment