Ni nyuso zenye furaha na zilizosheeni upendo wa dhati wakatio wa ibada takatifu ya kumshukuru mungu kwa kutimiza miaka 50 ya ndoa.Ibada ya misa takatifu ya kuadhimisha miaka 50 ya ndoa ilifanyika nyumbani kwao na ibada iliongozwa na Fr Longino.
Ni picha ya wajukuu, matunda ya miaka 50 ya ndoa.
Wagole wakiingia ukumbini.
Fr Longino akiendelea na ibada.
Somo likisomwa.
Watoto wa wanajubilee ya dhahabu ya ndoa.
Wakivishana tena pete ya miaka 50 ya ndoa.
Wajukuu wakiwapongeza.
Pia ulifanyika ubatizo wa wajukuu wawili.
Kulia Bw Griflin baba wa ubatizo wa mtoto.
Wajukuu wakitoa maombi wakati wa ibada.
Picha ya ndugu na jamaa.
Keki ya jubilee ya dhahabu.
OMUTOMAAAA.
Hapana chezee mama Poroje.
Neno la familia.
LYAO AKAKEKI MUSHAIJA WANGEEE(kARIBU KEKI MME WANGU.)
NYWAO MUKAZIWANGE(Kunywa mke wangu)
Zawadi time.
Fr Longino anaeishi Tabora akitoa zawadi.
Mr Poroje kwa mbali.
Mr Poroje akitabasamu na camera yetu. Jamcobukoba.blogspot.com inawatakia maisha mema ya ndoa.
No comments:
Post a Comment