Monday 29 December 2014

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE TU KUINGIA 2015,NI VIJIMAMBO TU MITAANI BUKOBA.

 Zikiwa zimebaki takribani siku mbili kuufikia mwaka mpya 2015, tumepitapita maeneo maeneo na kuangalia watu wamejipanga vipi kupokea mwaka mpya,Huku wengine wakirudi katika makazi yao baada ya X-mass, wengine bado wapo wakiusubiri mwaka mpya, Pande za Bukoba club nakutana na mdau anaonekana kutabasamu na kunisalimia mwana Libeneke  na kujitambulisha kwa jina la Richard  Bairemba(kushoto) na kusema ni mdau mkubwa wa kufuatilia matukio kupitia Jamcoblog, nampa mkono na kumshukuru,sikuwa na kamera mida hiyo, lakini kwa kutambua namna alivyonithamini nikaelekea ofisini na kumtuma kijana aende Bukoba club na kupata picha zao, Nawashukuruni sana wadau, Big up Mr Richard na wadau wengine kwa kunisupport.
 Bukoba  ni pazuri sana unapata vitu fresh.
 Bw Mtagwaba Big up kwa kuwa mdau wa Jamcoblog.
 Upepo  kutoka ziwani,unapunguza mawazo na karaha za foleni na kuamka saa kumi usiku unajiandaa kwenda kazini.
 Pande za Walkgard Transit wameandaa mavitu ,Toa order mapema au nunua meza mapema kwa ajili ya familia.
 Pilikaaa
 Watoto wapelekeni Kiroyera beach wakabembee.
 Rehema Ridhiwani na mwanae.
 Michomooo, Bk ni raha tu.
 Kitu konyagi, unaonaa Devo ukinywa hutu tutatu majibu utayapata kesho yake nini kimekutokea.

 Wily Kiroyera na Aman Kabuga.

 Rahim Kabyemela, siku zote nasema mtu wa watu.
 Yah iko poa sana.
 Furaha na hasa unapokuwa nae au kumuona umpendae.,
 Jerry katika harakati.
 Jamila na mwanae.
 Mdau mkubwa wa jamcoblog, Big up sana dada.

 Kamanda Mwaibambe(RPC) Kagera  uso kwa uso na Jamco ,pande za Kiroyera Beach.
 Burudani.
 Watoto wakichorwa, ndio furaha yao.
 Khadija Jamal.
 Watoto wakifurahi.
 Anitha Divo Serikali akiwa na Enjoe Ngaiza kwa raha zao.
 Mama Jamco akiwa pande za Kiroyera.
 Chui akishare love na wenzake.
 Usiku wa Bukoba Carnival KLiroyera beach.
 Watoto wa Tanga ni shidaaa.
 Ili ucheze vizuri unalowanishwa na maji, dah...
 Sharobalo la kihaya...
 Msanii wa Bk Kamdingi Fulani akifanya yake jukwaani.







Jamcobukoba.blogspot.com inapenda kuwashukuru wadau wote kwa namna ambavyo kwa muda mfupi sana tangu blog hii ianzishwe mmetupa ushirikiano mkubwa, ninachoweza kusema kama Mmiliki wa mtandao huu naahaidi kwenu kuwa tutaboresha zaidi pale ambapo mmetupa ushauri na tumezingatia, Binafsi nasema nawatakia kheri ya mwaka mpya wenye furaha na mafanikio, namna ya kutuunga mkono ni kutupa matangazo ya biashara au shughuli yako sie tutairusha.Asanteni.

No comments:

Post a Comment