Friday 2 January 2015

MA GERARDINA FELIX MBONEKO KUZIKWA LEO 2-1-2015 NYUMBANI KWAKE KANYIGO BUKOBA.


 Picha ya marehemu Ma Gerardina Felix Mboneko wakati wa uhai wake.Kwa mujibu wa maelezo ya Doctor Venant Mboneko mazishi yatafanyika leo saa tisa Alasiri nyumbani kwa marehemu Kanyigo Bukoba.
 Bw Ben Kataruga akiwa na Bw Jamco msibani.
 Ndugu kutoka Dar  wakiwasili msibani.
 Majonzi.
 Jeneza la marehemu .
Jamcobukob a.blogspot.com inatoa pole kwa familia,ndugu, jamaa na marafiki wote.

No comments:

Post a Comment