Sunday 28 December 2014

BOXING DAY MAENEO TOFAUTI, VIWANJA VYA LINA'S NA BUKOBA CLUB.

 Ni siku ya Boxing day yaliyojiri maeneo ya Bukoba Club na kiwanja cha nyumbani Lina's Night Club,katika picha ni Bw Basibira akiwa na Bi Julieth Mboto wakikumbushana hili na lile kipindi wakiishi  jirani huko Dar.
 Pande za Bukoba Club.
 Bi Julieth Mboto akiwa na Mama Colline pande za Bk Club.
 Ni sura za mvuto na mnato, kushota Dada Aidat akiwa na Bi Shuby.
 Meza kuu, si mchezo.
 Kushoto ni Victor Ruhasha akiwa na kijana mpole Edigar.
 Kwa raha zetuuuuu
 Mama wa mirindimo kasibante redio 88.5 shamila akiwa na Richard Kalumuna mtangazaji wa kasibante redio.
 Kachumbari za malaikas bendi.
 Kushoto Bw Basubira, Samwel mwaisumbe na dada yake Lilian.
 Tajiri Justuce Rugaibura(kushoto) akiwa na Tajiri Ben Kataruga,wakiwa na rahim kabyemela mtu wa watu.
 Bi Neema akiwa na Bi zamda ndani ya Malaika Bendi.
 Ben Mulokozi, akifanyua yake alianza na madafu akamalizia kwa dollar,hapana chezea yeyee.
 Makofi kwa Ben Mulokozi baada ya kutunza band nzima ya malaika ,ilikuwa ni nomaaaa...
 Bw Samwel (KUSHOTO) akiteta kitu na Ben Mulokozi.
 Mama JOJO katika moja ya pozz zake.
 Sura za furaha ,tabasamu ,mvuto na mnato.
 Kijana mtata Mc Jerry, Mkurugenzi wa shemeji Investment waaandaaji wa show ya malaika band, na sasa FM ACADEMIA 3-1-2015 Lina's.
 Uso kwa uso na camera ya jamcoblog.
 Kulia ni Mama Adve akiwa na familia yake wakifurahia,na mwisho ni mwana libeneke.
Ilikuwa ni kula,kunywa na kucheza,jamcobukoba.blogspot.com inawatyakia heri ya mwaka mpya, usisahau FM ACADEMIA SIKU YA TAREHE 3-1-2015 KATIKA UKUMBI WA LINA'S. JUMAMOSI.

No comments:

Post a Comment