Monday 29 December 2014

HAFLA FUPI YA UFUNGUZI WA NYUMBA YA BW APRONIUS MUTALEMWA MUZO.

 Ma Feliciana France akikata utepe akiwa na Fr Deo Mugisha kuashiria ufunguzi rasmi wa nyumba ya mwanae Apronius Mutalemwa Muzo iliyojengwa eneo la Nshabya Kyabitembe mji Mwema Bukoba mjini.
 Enelo la nje.
 Nyumba.
 Bw Apronius Mutalemwa Muzo  akikaribisha wageni mbalimbali.
 Ni vinywa vya kila aina kwa ajiri ya wageni waalikwa.
 Kushoto ni Bw  Lwankomezi akishauliana swala la ratiba  na Bw Muzo.
 Fr Deo akiwa na Bw Audax Mkati mjomba wa Bw Muzo ambae ndie alikuwa msimamizi wa ujenzi na Bw Abubakari Amahdi Byabusha.
 Ndugu waliofika kushuhudia tukio la kihistoria.
 Kulia nimama mzazi wa Bw Muzo Ma Feliciana.
 Ibada fupi ya ufunguzi ikiendelea.
 Bw Muganyizi Zachwa akipata
  chakula.
 Bw Muzo akipata chakula.
 Ikafika wakati mama mzazi wa Muzo akakabidhiwa fungua wa nyumba yake.


 Funguo za nyumba zikibalikiwa.

 Hongera, waiyuka muno munongaaaa.

SHANGWE ZIKATAWALA.

No comments:

Post a Comment