Friday 21 October 2016

NI HARUSI YA NELSON BAGENDA NA DOROTHY KISHANYU,HONGERENI SANA.

 Bw Nelson na Bi Dorothy Kishanyu wamefunga pingiu za maisha na kuachana rasmi na chama cha makapera dunia, ndoa iliofungwa katika kanisa katoliki Kasambya wilaya ya Misenye na sherehe ya kuwapongeza imefanyika katika ukumbi wa Bukoba club Manispaa ya Bukoba, hongereni sana maharusi.