Thursday 20 October 2016

SEND OFF PARTY YA ADUENT MARIKI YAFANA HUKO MARANGU MWIKA MOSHI.

 Ilikuwa ni shangwe na vifijo katika kata ya Marangu Mwika Moshi katika ukumbi wa Mamba Complex wakati wa  kumuaga Bi  Aduent Mariki ambae tarehe 28-10-2016 anatarajia kufunga pingu za maisha na mme wake mtarajiwa Bw Vijisenti almaarufu.( katika mkoa wa Kagera wilaya ya Misenye.katika picha Bi Aduent akiwa na mme wake mtarajiwa).
 Mwanamke kujiamini.
 Kushoto Bw VIJISENT katika ubora wake.

No comments:

Post a Comment