Saturday 16 July 2016

FAMILIA YA ISHENGOMA YAPATA PIGO,EDWIN ISHENGOMA AZIKWA.

 Ni majozi na masikitiko makubwa katika familia ya Ishengoma kwa kumpoteza mpendwa wao marehemu Edwin Rutayunga Ishengoma, marehemu alifariki 14-7-2016 na kuzikwa 15-7-2016 nyumbani kwao Kibeta.(katika picha ni padre akianza ibada ya misa takatifu ya mazishi.)
 Bw Partrick Ishengoma(kulia) akiteta jambo na  mdogo wake Protas Ishengoma.
 Heshima za mwisho.
Kulia ni Bw Partrick Ishengoma akiwa na mdogo wake.
 Bw Protas Ishengoma akisoma wasifu wa marehemu.
 Alhaji chuchu.
 Hapa jamani......
 Bw Protas Ishengoma akiweka udongo kaburini.
 Mjadala mkali...
 Kulia ni Bwana Vijisent.
 Kushoto ni Bw Felician Muta akiwa na Bw Protas Ishengoma, alifika kumfariji.
 Mzee Mwijage akiweka shada la maua.
 Mh Rwakatare akiwiweka shada la maua.
PUMZIKA KWA AMANI.