Wahitimu kidato cha nne na darasa la saba wakiwa kwenye maandamano kuelekea ukumbi wa sherehe
wanafunzi wakiwa kwenye mahabara ya shule kemibos
Balozi kagasheki akisikiliza wanafunzi kwenye mahabara wanaosoma masomo ya sayansi
balozi kagasheki amewataka wanafunzi kujifunza masoma ya sayansi ili kupata wataala
mu wengi zaidi
kushoto bw Adamu kagasheki mjumbe wa bodi ya shule akiwa na bw Karimu Amri MNEC CCM wilaya ya karangwe
Mgeni rasmi balozi kagasheki mbunge jimbo la bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mahafari ya kwanza kidato cha nne kemibos
mgeni rasmi akiwa na mkurugenzi wa shule na mmilikii wa shule kaizirege kareju (kulia) na kushota mwenyekiti wa bodi ya shule abubakari kagasheki,shule ya kemibos katika mitihani ya darasa la saba mwaka huu imekuwa yakwanza kimkoa
mama kaizirege kareju mkurugenzi wa fedha kemibos akiwa na mumewe
tarumbeta wakitoa burudani
wazazi waliokuja kuona watoto
bi sharifa karwani ni miongoni mwa wazazi waliokuja kusalimu watoto
wazazi
wanafunzi wa primary kemibos
mwenyekiti wa bodi kemibos Abubakari kagasheki akitoa neno
wanafunzi wa kemibosi wakwa katika gwaride maalumu kwa wahitimu
mkuu wa shule kemibos akisoma risala
wazazi wakipongeza watoto wao
ongereni wanetu.....
mgeni rasmi picha
kweli tumeitimu shostyyyy
mh diwani wa muleba mjini(CUF) Hassan milanga akisalimiana na balozi kagasheki
Mkurugenzi wa shule kemibos bw kareju akiwa na meneja wa shule bw katiti
kemibos inatoa elimu kuanzia chekechea, msingi, seko ndari na sasa wanategemea kuanza kidato cha tano na sita