Saturday, 16 November 2013

KAGASHEKI MGENI RASMI MAHAFARI YA KWANZA KIDATO CHA NNE KEMIBOS BUKOBA, AWASIHI WANAFUNZI KUSOMA KWA WINGI MASOMO YA SAYANSI ILI KUPATA WATAALAM WENGI ZAIDI






 Wahitimu kidato cha nne na darasa la saba wakiwa kwenye maandamano kuelekea ukumbi wa sherehe

               wanafunzi wa kemibos wakiwa kwenye paredi maalum kuwapongeza wahitimu
                                          wanafunzi wakiwa kwenye mahabara ya shule kemibos
 Balozi kagasheki akisikiliza  wanafunzi kwenye mahabara wanaosoma masomo ya sayansi
 balozi kagasheki amewataka wanafunzi kujifunza masoma ya sayansi ili kupata wataala
mu wengi zaidi


kushoto bw Adamu kagasheki mjumbe wa bodi ya shule akiwa na bw Karimu Amri MNEC CCM wilaya ya karangwe

 Mgeni rasmi balozi kagasheki mbunge jimbo la bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mahafari ya kwanza kidato cha nne kemibos
 mgeni rasmi akiwa na mkurugenzi wa shule na mmilikii wa shule kaizirege kareju (kulia) na kushota mwenyekiti wa bodi ya shule abubakari kagasheki,shule ya kemibos katika mitihani ya darasa la saba mwaka huu imekuwa yakwanza kimkoa
                   mama kaizirege kareju mkurugenzi wa fedha kemibos akiwa na mumewe
                                                          tarumbeta wakitoa burudani
                                                    wazazi waliokuja kuona watoto
                        bi sharifa karwani ni miongoni mwa wazazi waliokuja kusalimu watoto
                                                                  wazazi
                                                    wanafunzi wa primary kemibos
                               mwenyekiti wa bodi kemibos Abubakari kagasheki akitoa neno
         wanafunzi wa kemibosi wakwa katika gwaride maalumu kwa wahitimu

                                                                             wahitimu katika pozz


 mmoja ya kivutio katika mahafali haya ni vijana hawa walioimba shairi kwa lugha ya kifaransa

                                                          mkuu wa shule kemibos akisoma risala
                                                    wazazi wakipongeza watoto wao
                                                         ongereni wanetu.....
                                                                      mgeni rasmi picha
                                                                        ya pamoja na wahitimu

                                                    kweli tumeitimu shostyyyy
 mh diwani wa muleba mjini(CUF) Hassan milanga akisalimiana na balozi kagasheki
 Mkurugenzi wa shule kemibos bw kareju akiwa na meneja wa shule bw katiti
kemibos inatoa elimu kuanzia chekechea, msingi, seko ndari na sasa wanategemea kuanza kidato cha tano na sita

No comments:

Post a Comment