Tuesday 14 January 2014

MAREHEMU ALINDA( MTOTO WA JENI MMILIKI WA MTK BAR) KUZIKWA 15-1-2014 IZIMBYA

 Hii ni picha ya marehemu Alinda aliefariki 13-1-2014   katika hospital ya kagondo akiwa na umri wa miaka 15, alikuwa anaingia kidato cha tatu katika shule ya sekondari Zakia Meghiji iliyoko chato, na tarehe anafariki ndio ilikuwa siku yake ya kurudi shule, Bwana ametwaa jina lako lihimiliwe
                                     Jeni amepoteza mwanae wa kwanza
 Lily Tigo akiwa na Bety msibani
 Maua Daftari busy na simu msibani ,pembeni chui na London
 Bi Zamda
 Bw Wilson Mchunguzi akiwa msibani
 Majirani wakiwa msibani
 Kushoto ni mtoto pekee wa Jeni alibaki
 Kulia  ni Jeni aliefiwa na mwanae aliekuwa na umri wa miaka 15
 Swaiba mkubwa wa Jeni(mfiwa) Bi Pelina
                                    MC Baraka akiwasili eneo la msiba na Bw Yugin Kabendera
 Azizi Kachwamba
                                                          Msibani maisha yakiendelea
                                         Mmmmm jamani kazi ya mungu haina makosa
Moses Nyama msanii wa kakau Band(kushoto)akiwa na msanii Bk Sande(kulia) wakiwa eneo la msiba

1 comment:

  1. JAMANI POLENI SNA NA MSIBA HUU NENO LA MUNGU KATIKA BIBLIA TAKATIFU LINASEMA "NALIKUFAHAMU KABLA HUJAWA TUMBONI MWA MAMA YAKO,NALIZIJUA NYWELE ZOTE KATIKA MWILI WAKO NINA FAHAMU IDADI YA MCHANGA ULIOKO PWANI"
    NENO LA KUFARIJIANA =>NIITE NAMI NITAITIKA NITAFUTE NAMI NAPATIKANA

    ReplyDelete