Sunday 2 October 2016

JAFFERY(KSI) ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL WAFANYA MAHAFALI YA KUWAAGA DARASA LA SABA BUKOBA.

 Shule ya msingi Jaffery iliyoko katika manispaa ya Bukoba imefanya mahafali ya kumi ya darasa la saba ,katika hotuba ya meneja  wa shule Mohamed Manji amewapongeza wanafunzi kwa kuhitimu  masoma yao na kuwataka kuwa na bidii maana sasa safari ya kuitafuta elimu ndio kama  imeanza, pia ametoa wito kwa wazazi kuleta watoto kujiunga na kidato cha kwanza kwenye  shule ya sekondari ya Jaffery maana inatoa elimu bora na inafanya vizuri.
 Bw Mohamed Manji akiwa na mwanae Zahara Manji amehitimu darasa la saba.
 Kiongozi wa dini akifungua sherehe kwa dua.
 Wazazi
 Meneja wa shule Mohamed Manji akitoa taarifa ya ufanisi wa shule, pia akatoa wito kwa wazazi kuleta watoto wa kidato cha kwanza kwenye shule yao ya sekondari.
 Wahitimu wa darasa la saba wakiimba wimbo.
 Kulia ni mwenyekiti wa bodi ya shule Bw  Murtaza Visram akiwa na mjumbe Bw Akbar.
 Wazazi wa wahitimu.
 Wanafunzi wakiimba shairi la kuwaaga darasa la saba.
 Walimu wakipokea zawadi kutoka kwa uongozi wa shule.

No comments:

Post a Comment