Thursday 6 October 2016

MWILI WA MAREHEMU GOZIBERT IJUMBA WAWASILI BUKOBA,KUZIKWA JUMAMOSI 8-10-2016

 Mwili wa marehemu Gozibert Ijumba umewasili nyumbani kwake nyamkazi Bukoba majira ya alfajiri  ya leo saa kumi ukitokea Dar  ambako mauti yalimkuta 3-10-2016 katika hospitali ya rufaa Muhimbili,marehemu atazikwa 8-10-2016 kijijini kwao Kanyigo,kabla ya kupelekwa kijijini kwao  siku ya leo itakuwepo ibada takatifu nyumbani kwake Bukoba mjini kuanzia saa sita mchana na watu watatoa hheshima zao za mwisho, na mwili utapelekwa leo kijijini kwao.
 Mjane wa marehemu.

No comments:

Post a Comment