Thursday 25 February 2016

KARIBU ELICE SHOP, DUKA LA VYOMBO LIPO MTAA WA MIGEYO MKABALA NA TAWI LA BENKI WAKULIMA.

 Elice shop ni duka jipya lipo mtaa wa migeyo Bukoba mjini limetazamana na tawi la benki ya wakulima(KFCB),fika dukani hapo utaweza kujipatia vyombo vizuri na original kwa matumizi ya ndani, mahotelini na maofisini, pia wale wanaofanya biashara ya kupika vyakula kwenye maharusi nk wanavyo vyombo maalumu kwa shughuli hizo, karibunu  Elice shop.
 Vyombo vya ubora wa hali ya juu.
KARIBU ELICE SHOP, MTAA WA MIGEYO MKABALA NA TAWI LA BENKI YA WAKULIMA.

Wednesday 24 February 2016

DIWANI WA KATA YA IJUGANYONDO ALMASOUD KALUMUNA(KAMALA)ATOA MSAADA WA DAFTARI NA KALAMU KWA WANAFUNZI IBURA SHULE YA MSINGI

  Diwani wa kata ya Ijuganyondo Manispaa ya Bukoba Alimasoud Kalumuna(Kamala) ametoa madaftari elfu moja na kalamu kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi katika  shule ya msingi Ibura iliyopo katika kata ya Ijuganyondo,Diwani Kamala wakati akiongea na walimu na wanafunzi alianza kwa kushukuru jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano ya rais Pombe Magufuli kwa kutoa elimu bure kuanzia  shule ya msingi mpaka sekondari,amesema mpango huu wa elimu bure utawawezeshe wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya msingi , tofauti na hapo mwanzo walishindwa kupata elimu kutokana na wazazi wengi kushindwa kumudu gharama,pia aliweza kuchangia kiasi cha shilingi laki mbili kuunga jitihada za wazazi katika kujinga choo cha wanafunzi.(katika picha Mh Diwani Kamala akikabidhi vifaa na pesa taslimu laki mbili)
 Muonekano wa shule ya msingi Ibura.
 Mh Diwani akizungumza na wanafunzi.
 walimu wa shule.
 Diwani wa kata ya Ijuganyondo Manispaa ya Bukoba Alimasoud Kalumuna(Kamala) ametoa madaftari elfu moja na kalamu kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi katika  shule ya msingi Ibura iliyopo katika kata ya Ijuganyondo,Diwani Kamala wakati akiongea na walimu na wanafunzi alianza kwa kushukuru jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano ya rais Pombe Magufuli kwa kutoa elimu bure kuanzia  shule ya msingi mpaka sekondari,amesema mpango huu wa elimu bure utawawezeshe wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya msingi , tofauti na hapo mwanzo walishindwa kupata elimu kutokana na wazazi wengi kushindwa kumudu gharama,pia aliweza kuchangia kiasi cha shilingi laki mbili kuunga jitihada za wazazi katika kujinga choo cha wanafunzi.(katika picha Mh Diwani Kamala akizungumza na walimu na wanafunzi)
 Mwalimu mkuu wa shule akikabidhiwa.
 Walimu wakigawa madaftari kwa wanafunzi
Hapa kazi tu.