Friday 13 June 2014

WABRAZILI WALIOPO TANZANIA WASHEREKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA.



  Balozi wa Brazili hapa Tanzania Bw Frcisco Carlos akibadilishana mawazo na Rosalie Lehel kutoka IFAD ambaye alikuwa miongoni mwa wageni walio alikwa katika kusheherekea uzinduzi wa kombe la dunia ambao linafanyika nchini Brazili
 Wananchi wa Brazili waliopo Tanzania wakisheherekea kuanza kwa michuoano ya kombe la Dunia ilioanza jana nchini Brazili
Balozi wa Brazili anaye wakilisha nchi yake hapa Tanzania  Bw Frcisco Carlos na Mkewe wakiwa wana sherehekea uzinduzi wa Kombe la Dunia ambalo limeanza jana Balozi huyo aliandaa tafrija katika hoteli ya Serena ambapo wabrazili waishio Tanzania walishiriki pamoja namarafiki mbalimbali

Thursday 12 June 2014

TAMKO LA MUUNGANO WA VYAMA VYA CHADEMA NA CUF JUU YA OMBI LA FRIENDS OF BUKOBA KWA WAZIRI MKUU KUVUNJA HALMASHAURI YA MANISPAA BUKOBA

  •  
 Ni mihuri ya vyama vya Cuf na Chadema katika barua ya tamko la kulaani   Wanaojihita Friends of Bukoba
 Mbunge viti maalumu Chadema Conchestar Rwamulaza
 Diwani kata Rwamishenye Chadema Dismas Rutagwelera
 Diwani Mukono Chadema Viti maalumu
 Diwani Viti maalumu Cuf Rabia Badru
Diwani wa kata Bakoba Cuf Felician Bigambo

Wednesday 11 June 2014

WADAU WASHEREKEA USIKU WA NDOVU SPECIAL MALT ,SUPU ,NYAMA CHOMA KAMA KAWAIDA. TBL SI MCHEZOOO

 Ndani ya nyumba
 Hizi zote mpaka ziishe ,Ni maneno ya Rakson Kahabuka
 Na,maanisha Ndovu special malt,kijana Mwiiba na Rakson Kahabuka
 Nyama chomaaa
 kARIBU SUPU
 Bw Basibira na Mhandisi
 Karibu swaiba,leo hapa za kumwaga
 Bw SIYZA akiongea na wageni walioalikwa kwenye usiku wa Ndovu special malt
 Bw Slyvester Syza alipata wasaa wa kuagana na wadau anaamia Dar
 Ilikuwa Poa sana
 Handsome boy ndani ya nyumba
 Bw Juma akiongea na wadau
 Unasikiliza radha ya kitu Ndovu special malt
 Soma katika harakati na hasa wakati wa kagiza kidogo ni shidaaa
 super mkude
 Bety sambamba na Kaka Mkubwa
 Usiku wa Ndovu Special Malt
 Kitu Balimi