Friday 13 June 2014

WABRAZILI WALIOPO TANZANIA WASHEREKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA.



  Balozi wa Brazili hapa Tanzania Bw Frcisco Carlos akibadilishana mawazo na Rosalie Lehel kutoka IFAD ambaye alikuwa miongoni mwa wageni walio alikwa katika kusheherekea uzinduzi wa kombe la dunia ambao linafanyika nchini Brazili
 Wananchi wa Brazili waliopo Tanzania wakisheherekea kuanza kwa michuoano ya kombe la Dunia ilioanza jana nchini Brazili
Balozi wa Brazili anaye wakilisha nchi yake hapa Tanzania  Bw Frcisco Carlos na Mkewe wakiwa wana sherehekea uzinduzi wa Kombe la Dunia ambalo limeanza jana Balozi huyo aliandaa tafrija katika hoteli ya Serena ambapo wabrazili waishio Tanzania walishiriki pamoja namarafiki mbalimbali

No comments:

Post a Comment