Monday 9 June 2014

MZEE THEOBARD KAINAMI KIBENGWE APOKEA MAHARI YA MWANAE DERIPHINA KOKUNURA

 Bi Deriphina (kushoto) akiwa na mdogo wake Baby
 Nyumbani kwa mzee Kibengwe muonekano kabla ya wageni kuwasili
 Katikati ni mzee Kibengwe akiwa na marafiki wa karibu
 Vitu vilivyoletwa kwa ajiri ya Mahari
 Upande wa Bwana Harusi mtarajiwa wakiwasili nyumbani kwa mzee Kibengwe
 Mambo ya mira  na desturi( entukuru) Watu ukanda wa kiziba Bukoba wanajari sana mira
 Mshenga akiwa amepiga magoti ili aweze kuwasilisha vitu vyote walivyokubariana
 Wazee wakisikiliza kwa makini na kuangalia kinachoendelea
 Hapo ni kimoja  baada ya kingine
 Dada wa Bi harusi mtarajiwa Modesta na Elice
 Hatimae wakakamilisha
 Majirani
 Kushoto ni Baba mzazi wa Bw Harusi mtarajiwa akiwa na Ndugu Micheil Njumba
 Wakati wa chakula
 Mfunue Bi harusi
 Mzee Kibengwe alishindwa kujizuia furaha aliyokuwa nayo ikabidi acheze
 Akamvisha pete ya uchumba
 Asante Amos





Tunawatakia kila rakheri

No comments:

Post a Comment