Tuesday 10 June 2014

SEND OFF PARTY YA DERIPHINA KOKUNURA THEOBARD KIBENGWE YAFANA

 Chezea Bi harusi mtarajiwa, akiingia ukumbini,hakika nyimbo za nigeria zinabamba si mchezo
 Mpambaji mama Matungwa aliubadilisha ukumbi wa Lina's katika mwonekano huu
 Mama Erick Rugarabamu, sambamba na mke wa mwanae Erick
 Mr & Mrs Lugaisa wakiwa ukumbini
 Wazazi wa Bw harusi mtarajiwa waiingia ukumbini
 Baba mzazi wa Bw harusi mtarajiwa na mama mzazi

 Kamati ya vinywaji katika hekaheka za kutoa huduma
 Wakaka na wadada wakiongoza msafara wa Bi harusi mtarajiwa kuingia ukumbini
 Mc Jerry kikazi zaidi
 Kwa raha zako mtarajiwa,wengi wanaitamani ila kazi kuipata sasa.
 mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Jamal Kalumuna (Jamco) akifungua sherehe na kuwakaribisha wageni waalikwa
 Mpenzi  twende nimekuandalia nafasi maalumu
 Wale wote watakaoleta mdomo kwenye ndoa yangu washindwe na walegee kwa jina la yesu
 Baba pokea keki nakushukuru kwa kunizaa, kunilea, kunisomesha na sasa naanza maisha yangu, asante sana baba.pokea keki hii kama ishara ya shukrani.
 Dada mkubwa Modesta akiwa na Elice wakipokea keki
 Kamu kaka alitokelezea
 Muonekano meza kuu

 Waalikwa walipendeza sana
 Dada happy kama jina lake,FULL SHANGWE MUDA WOTE
 Mr Deo sambamba na kaka Optat
 Mama Serikali Divo Anitha sambamba na best wake
 Mkodomi alipendeza
 Nshomile Family akiwakirisha, kamati ilijipanga, alikadharika kakau band nao ndani ya nyumba
 Dada wa Bi Harusi mtarajiwa Bi Loyce Kibengwe
 Three Sisiters hapana chezeaaa







 Dada wa Bi harusi mtarajiwa hakika walitokelezea na kujipanga, pendeza sana
 Mpangilio wa wadada,muonekano na mavazi
 Mama mdogo akipokea zawadi kwa niaba ya mama mzazi kutoka kwa watoto, mama mzazi alikuwa mgonjwa hakuweza kufika ukumbini
 Ni mtu na mtu wake usihoji zaidi
 Twende Raazizi wangu tukapate chakula
 Meza ya Wazazi upande wa Bi Harusi mtarajiwa wakipata chakula
 Chui na London katika hekaheka zake na kimini chake na kiatu kirefu.kwa mbali ni Sauper mkude na mama wakiteta
 Madj wakipata chakula
 Kulia ni Bw Rutakwa aliekuwa mc akitafakari yaliojiri muda mchache
 Lakini chakula ni kitamu jamani, robo kuku kwa mtu si mchezoooo
 Video Camera ikawekwa chini, muziki ukachezwa
 Hapana chezeea wadada weweeeee
 Mwenyekiti wa kamati Jamco sambamba na mtarajiwa.
Stivin Wonder akiwa na Salumu wakisakata rumba.

No comments:

Post a Comment