Tuesday 10 June 2014

MARAFIKI WA FAMILIA YA JAMAL KALUMUNA WAMTEMBELEA JAMILA JAMAL KUMPA ONGERA YA KUJIFUNGUA

 Mama Jamco akitabasamu akiwa na mwanae Jabir na pembeni ni Ashira, akiwa na wageni waliokuja kumpa ongera ya kujifungua salama.
 Hawa ni ........ dole gumba
 Ni utaratibu ambao watu wanajiwekea kwa ajiri ya upendo,kutembeleana,kwenye matatizo, raha nk.
 Ni kujipatia chochote
 Mama Jamco akipata chochote
 Ni baadhi ya Marafiki wa familia ,wakiongozwa na Ernest Nyambo,Sudi Karatasi, Ramadhani  Kambuga,Lily Tigo, Chui na Londan Salome, wakiwawakirisha   Rihan Gulam na Kijana  machachari Wilson Mchunguzi  ambao walipata hudhuru.
 Rmk akitafakari, kwani nae yu njiani muda si mrefu atapata Mtoto.
 Ni kijana wa pili wa Mr & Mrs Jamal, Jamiru Jamal
 Kaka mkubwa Ernest Nyambo akiwa na Sudi Karatasi
 Huku wakipata chochote, Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea
Zawadi kedekede na pesa taslimu zilitolewa kumpongeza mama Jamco.

No comments:

Post a Comment