Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kabla
ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za
Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi
ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.
Rais
Jakaya Kikwete(wa tatu kulia) akizindua Chapisho la Tatu la taarifa za
msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu
na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata taarifa
mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa
Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.Wengine kwa kwanza kulia ni
Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Saidi,
wa pili Waziri wa Fedha Saada Salum Mkuya na kushoto wa kwanza ni
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seid Ali Iddi wa pili ni Mwakilishi wa UNFPA Mariam Khan na watatu ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Rais Jakaya Kikwete akizindua tovuti kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.
No comments:
Post a Comment