Sunday 14 December 2014

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU OMULANGIRA RICHARD KAMI LWEKAMWA YAFANYIKA NYUMBANI KWAKE MARUKU BUKOBA

 Wa kwanza kushoto ni mjane wa marehemu Jane Kami Lwekamwa ambae ameandaa shughuri nzima ya kumuombea marehemu mme wake akiwa na wanae Mkemfura Lwekamwa, Atugonza Lwekamwa na Ruga Lwekamwa akiwa katika picha ya pamoja eneo la kaburi .Ni miaka mitano sasa tangu marehemu afariki.
 Ilikfanyika ibada ya misa ya marehemu Nyabukazi Maruku.
 Picha ya marehemu Richard Kami Lwekamwa.
 Kushoto ni mtoto mkubwa wa marehemu, Florensi Lwekamwa akiwa na prasidi Lwekamwa.
 Familia
 Anna katika pozz
 MAMA Godeliva Mulima.
 Ibada ya misa ikiendelea.
 Mjane wa marehemu Jane Lwekamwa ambae ameandaa misaaya kumuombea mme wake akiwa na wanae.
 Baba Paroko msaidizi wa maruku akiendelea na ibada.
 Marehemu alizikwa kwenye shamba lake la Bibanja Maruku.

 Majonzi.
 Mjane wa marehemu akiweka shada la maua kumkumbuka mmewe.
 Watoto wa marehemu.
 Mwenyekiti wa familia ya Lwekamw akitoa neno la shukrani.
 Mwenyekiti wa wilaya ccm Bukoba vujujini Novatus Nkwama akisalimia wananchi.
Hivyo ndivyo shughuri ilivyokwenda,pongezi na shukrani zimuendee mjane wa marehemu Jane Lwekamwa kwa kuhakikisha anasimamia yote na kufanikisha.

2 comments: