Monday 15 December 2014

CHADEMA WAITEKA KATA YA KASHAI BUKOBA,WACHUKUA MITAA YOTE TISA.

 Ni hali halisi katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Bukoba mara baada ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kutangazwa,Wapenzi wa  Chadema walipita kila kona wakishangilia uashindi wa kujinyakulia mitaa 29 kati 66 katika jimbo la Bukoba mjini.Chama cha mapinduzi kimejipati mitaa 35 na Cuf mitaa. Lakini katika hali isiyo ya kawaida ni pale Chadema ilipobeba mitaa yote tisa
  ya kata mama ya Kashai yenye idadi ya wakazi wengi kuliko kata zote za jimbo la Bukoba Mjini.
 Ni Antidius Kalunde(Mwandishi wa habari)akionyesha furaha yake .

 Ni nyumba kwa Bw Zuberi Masoud baada ya ushindi.
Bw Zuberi Masoud(Kipara)mshindi mtaa wa Katatolwansi Kashai.
Bw Rushuri nae akishukuru wananchi kwa kuwachagua.

No comments:

Post a Comment