Tuesday 16 December 2014

WAPENZI WA CCM WAMTAKA MWENYEKITI WA CCM WILAYA BUKOBA MJINI AJIUZURU,BAADA YA KUPOTEZA MITAA TISA KATA KASHAI.

Katika hali ya mshangao mkubwa wapenzi wa ccm wamemtaka mwenyekiti  wa ccm Bukoba Mjini Yusuf  Ngaiza  AJIPIME NA KUJITAFAKARI NA KUACHIA NGAZI MARA MOJA,Kufuatia kupoteza mitaa yote katika kata ya Kashai katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni .Mmoja wa wakereketwa alisikika akiongea kwa machungu akisema NI WAKATI AMUAFAKA  BW YUSUF NGAIZA KUKUBALI KUSHINDWA UONGOZI. Kama mwenyekiti na mkazi wa  Kashai kashindwa kupata mtaa,basi atoke..Hali hii na kauli za   namna hii zinasikika kila kona ya maeneo ya Bukoba Mjini.Jitihada za kumpata Bw Yusuf Ngaiza zinaendelea ili aweze kueleza sakata hili.


Bw Rugambya aliekuwa mgombea mtaa wa Kashai halisi.
BW Omary Kazinja(mwenye sare za ccm) ni mingoni mwa w

agombea waliopoteza nafasi zao.

No comments:

Post a Comment