Sunday 16 February 2014

NEW COFFEE TREE POOL TABLE TOURNAMENT FOR THE WINNER OF 2013 ,MSHINDI NI ADVOCATE STEPHEN BYABATO AJINYAKULIA 540,000,MDHAMINI BEN KATARUGA ATOA MILIONI MOJA YA WASHINDI

 Ndani ya jengo hili ndio mpambano wa fainali za mchezo wa pool Table umefanyika na Advocate Stephen Byabato kuibuka kidedea na kujinyakulia kitita cha shilingi  540,elfu, mshindi wa pili ni Bw Sunday Reuben aliejinyakulia 330elfu na mshindi wa tatu ni Bw Wangubo Mrikya alijipatia 210elfu
 Advocate Stephen Byabato akinyanyuliwa juu na mpambe wake wa karibu baada ya kushinda mchezo wa tatu dhidi ya  Bw Sunday Reuben
 Picha ya pamoja
 Bw Sunday akitafuta nafasi ya pili
 akapigwa mtu....
 Ongera ndugu yangu
 Adivocate Stephen Byabato akiipiga black na kuwa mshindi wa kwanza
Kwa niaba ya washindi Mwl Kiliyanga Kabaijo ametoa shukrani za pekee kwa mdhamini wa mashindano haya Bw Ben Kataruga kwa kuonyesha kujali na kuthamini mchezo wa pool  table

No comments:

Post a Comment