Sunday 30 October 2016

YESSSS.. WE DID ,HAKUNA GUMU KWA MUNGU, HONGERA MR &MRS RENATUS RUTTA.

 Haikuwa rahisi wakati mchakato  ulipoanza, namanisha maandalizi ya harusi, changamoto za hapa na pale, lakini mwisho wa siku tarehe 28-10-2016  Bw Renatus Rutta(Vijisenti) akafunga pingu za maisha na mkewe katika kanisa katoliki la Buyango Missenye Bukoba.
 Vijisenti kabla ya kuingia kanisani kusaini mkataba wa maisha.
 Wazazi upande wa Bw Harusi ,hakika blue ilinoga...
 Baraka zilianza mapema akiwa nje ya kanisa.
 Hatimae ibada ya misa takatifu ya ndoa ikaanza, si kawaida sana ndoa kuudhuriwa na mapadre 12 kwa wa kati mmoja,hii inaonyesha ukaribu wa Bw Vijisenti na viongozi wa dini.
 Twende mke wangu mtarajiwe tutatimize ndoto yetu ya muda mrefu, tukadhirishie umati.
 Kwa jina la baba....
 Hesabu mwenyewe, harafu jiulize mwenyewe, harafu jipe majibu mwenyewe, kwako inawezekana?
 Wanakwaya.
 Wanakwaya.
 MAUBILI YAKE YA NDOA YALIKUWA KIBOKO..
 Chukua pete hii iwe.....
 Makofi ya kutosha baada ya kuvishana pete.
 Hongereni sana.
 Saini hapa...
 Mie shaidi...
 Nakubariana nanyi.
 Twende mke wangu.
 Nyumbani kwa Vijisenti  kwa ajili ya chakula cha mchana.
LETE FUJO  ......
Endelea kufuatilia jamcobukoba.blogspot.com ujue nini kiliendelea baada ya hapa.

1 comment: