Shekhe msaidizi wa mkoa wa kagera alhaji Haruna kichwabuta amewataka waumini wa kiislamu,kupendana na kuwa wamoja katika mambo ya maendeleo ya kislamu,amesema miongoni mwa waislamu wamekuwepo watu wanaowagawa waislam na kuendeleza majungu na fitina ambazo hazisaidia zaidi ya kuwagawa waislamu,amesema upo mpango wa kujenga msikiti wa kisasa,shule ya chekechea,msingi,sekondari mpaka kidato cha tano,maduka na maofisi,amesema ni mradi mkubwa unaohitaji zaidi ya bilioni kumi za kitanzania,shekhe haruna amesema wapo miongoni mwetu watakaobeza juhudi hizi na kukatisha tamaa lakini insharah wataweza kuanza,kwani tayari wameshaongea na rais kikwete aweze kuwasaidia kuandaa arambee itakayosaidia kuanza mchakato,shehe haruna amewataka waislau kuwapa moyo watu wanaoonyesha juhudi za kusaidia maendeleo ya waislamu,akitoa mfano wa mbunge wa jimbo la bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii balozi khamis kagasheki ambae amejitolea kumalizia bweni la shule ya Qudus linalohitaji zaidi ya milioni 25 ambazo atazitoa balozi kagasheki ,aliendelea kusema balozi kagasheki alijitolea miswala ya kuweka katika misikiti 14 iliyoko katika manispaa ya bukoba yenye thamani ya zaidi ya milioni 20,lakini yupo mtu miongoni mwetu alisma hatosalia miswala hiyo,shehe haruna akasema watu kama hawa si marafiki katika uislamu maana wapo katika fitina na hawana msaada wowote zaidi ya majungu na fitina hivyo tuwakatae na mtu kama hataki si lazimakuswalia,pia amewataka wazazi kuwapa watoto malezi bora na kuujua uislamu
Alhaj Amza akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya madrasat fauz
waumini wakiwa msikiti wa ijumaa leo katika swala ya eid
shekhe idrisa akiwa kikazi zaidi
fitri zikikusanywa
Alustadh mkude akiwa na furaha
jamco,jamiru jamal na bushira baadaya swala ya eid
alhustadh salumu akiwa na bashasha
alhaji Abas na murishdi
picha ya pamoja
tunamshukuru mwenyezi mungu kumaliza salama mfungo
alhaj abubakari kagasheki akiwa na alhaj Athumani kazinja
Alhaji kagire akiwa nyumbani kwake na wageni mbalimbali aliowaalika kusherekea eid
watoto nao wakipata chakula
mzee pius ngeze akijumuika na mashekhe chakula nyumbani kwa alhaj kagire
raha ya eid ni kula vizuri na wenzako
Nabir jumanne akitoa huduma,jamcobukoba.blogspot.com inawatakia eid mubaraka njema
No comments:
Post a Comment