Wednesday 7 August 2013

WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU WAIBUKA KINARA KATIKA KUNDI LA WIZARA ZA SEKTA HUDUMA ZA JAMII KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA NANE DODOMA


WAKISHANGILIA KWA FURAHA BAADA YA KUTANGAZWA WASHINDI

WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia Kombe baada ya kuibuka mshindi wa Kwanza katika Kundi la Wizara za Sekta Huduma ya Jamii kwenye Kilele cha Sherehe za Sikukuu ya Wakulima NaneNane 2013 zilizofanyika Kitaifa kwenye Uwanja vya Nzuguni,Dodoma tarehe 7/08/2013

No comments:

Post a Comment