Wanafunzi wa shule ya sekondari St. Sosthenes wakiwa katika picha ya pamoja Equator,mwalimu mkuu wa shule hiyo ndugu Mujungu Johnston amesema wamekuwa wakiwafundisha watoto darasani, lakini wanapenda ili watoto waelewe vizuri wanawapeleka watoto kwenye maeneo husika ili waweze kuelewa zaidi kile wanachojifunza darasani, aliendelea kusema wataendelea kufanya hivyo kila wakati japo ni gharama ila wanajari wanafunzi kujifunza na kuelewa
wanafunzi wakiwa maeneo ya equator
mwalimu mkuu aliekaa akiwa na walimu wenzake
walimu wakifurahia study tour yao na wanafunzi
walimu wa kike wakifurahia
wanafunzi wakiwa wanafurahia ziara yao ya mafunzo
mwalimu mkuu akieleza nia na madhumuni ya ziara ya mafunzo
watu mbalimbali hupenda kupiga picha wanapofika eneo hilo linaroigawa dunia katikati
wanafunzi wa kidato cha kwanza wa St. SOSTHENES,shule inayomilikiwa na kanisa la Authodox Tanzania, shule hii ipo Izimya kabale bukoba vijijini
mwalimu mkuu akiwaeleza wanafunzi historia kwa ufupi kuhusu watawala wa nchi ya uganda
wanafunzi wakimsikiliza mwalimu mkuu
walimu
walimu na wanafunzi
jamcobukoba.blogspot.com tutawaletea matukio popote pale tupigie simu 0754-757157
No comments:
Post a Comment