Friday 9 August 2013

BEN MLOKOZI ASHEREKEA SIKUKUU YA EID BUKOBA,ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA KUWAFARIJI

                                     ben muloki akiwa na marafiki mbalimbali katika kusherekea eid
 hapa mkuu wa protoko bwana basibira mwenye koti akiwa na wenzake picha ya pamoja na bw ben mulokozi
 hawa ndio kitengo cha usalama wa bwana ben mulokozi anapokuwa eneo lolote akiwa bukoba kipindi hiki cha mapumziko mafupi ya eid
             bwana ben mulokozi  anasema ameona na vizuri kuja nyumbani kusherekea eid
                                                                             picha ya pamoja
 bwana Ben mulokozi akiwa navijana wake wote wa kazi wakitoka kutembelea watoto yatima
                       Bwana Bekutise Tinkaligaile ambae amekuja na bwana ben mulokozi kutoka dar
                                      Bwana basibira akiwa na furaha kuwa na kiongozi katika eid

No comments:

Post a Comment