Wednesday 7 August 2013

HIVI NDIVYO MFANYABIASHARA WA MADINI ALIVYOPIGWA RISASI ARUSHA. I

 



 
Mwili wa Erasto Msuya na mmiliki wa SG HOTEL mkoani Arusha mara baada ya kupigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.
 
Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu.
Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya langer lover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu.

No comments:

Post a Comment