Sunday 4 January 2015

FORUWA INVESTMENT CO.LTD YAZINDULIWA RASMI, WANAKOPESHA PIKIPIKI NA WAUZAJI WA SPARE ZA PIKIPIKI

 Katika picha mgeni rasmi Kamanda wa uhamiaji Mkoa wa Kagera  George Kombe akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Kampuni ya Foruwa Investment.Kampuni hii inajishughulisha na ukopeshaji pikipiki kwa makubaliano,piana wanaloduka la kuuza spare za pikipiki kwa gharama nafuu,na wanao ukumbi eneo la Buyekera darajani unaotumika kwa shughuli mbalimbali za kijamii,na eneo la kulaza pikipiki  kwa kulipia
  Kushoto ni  Mkurugenzi wa Foruwa Investment .co .LTD  Jacqueline .E.  Mrema, Mgeni  rasmi  George Kombe, Meneja wa Kampuni  Eliud Burchard Muganda na  Mshauri wa Kampuni Rebeca Gwambasa.
 Mc Jerry akifanya vitu vyake.
 Cherees.
 Wadau wa kampuni.
 Bw Jovin wa Shabuka akitupia kitu .
 Mkurugenzi wa Foruwa Investment  Mh Mrema akisoma Risala.
 Mgeni rasmi akimpongeza Mkurugenzi kwa kazi kubwa wanayofanya ya kutoa ajira na kuendeleza maisha ya watu katika jamii.
 Mc Imani akiwa kazini.
 Mduara.

 Meneja  AKIWA NA MAMA MZAZI.
 Yamoto ni shidaaa.
 Picha ya pamoja na wadau,wakopaji pikipiki.
 Radi Rweyemamu akiteta jambo na dada yake.
 Walezi wa kampuni, mzee Ema na Bw Audax.
Jamcobukoba.blogspot.com wanawapongeza kwa kazi kubwa mnayoifanya.

No comments:

Post a Comment