Sunday 4 January 2015

BONGE LA HARUSI KUKARIBISHA MWAKA 2015 , ENGINEER BAINA THADEO MUKURASI NA LIBERATHA SHUBI MUGISHA.

 Ilikuwa ni shangwe, nderemo na vifijo pale Engineer Baina na Liberatha mbele ya mamia ya waumini katika kanisa la karoliki Cathedral Bukoba walikubaliana na kuwekeana mkataba wa kuishi kwa raha na shida mpaka kifo kitakapowatenganisha kwa maisha yao yote hapa duniani, ilikuwa ni siku ya pili ya 2015 ,Ni Harusi iliyoandaliwa na watu makini kwa maana ya mipangilio na mikakati iliyoandaliwa kwa wana ndoa hawa,Nazungumzia utaratibu kuanzia  nyumbani, kanisani na badae katika ukumbi wa Lina's. Hongereni sana maharusi.
 Dada wa Bi Harusi akiwa solon.
 Bi Harusi akipambwa katika moja ya saloon kubwa na za  kiwango Lovely Nice Saloon akipambwa kabla ya kwenda kanisani.

 Bw Harusi akiwa ndani ya Jumba(SUTI) ya kiwango , tayari kuelekea kanisani.
 Bw Baina akiwa na bestman.
 Tunaongelea mchuma walioutumia kuwapeleka kanisani,ndio maana nikasema harusi ya viwango.
 Dada wa Bw Harusi, pendeza sana.
 Bi HARUSI AKIWA NA DADA YAKE.
 Mama mzazi.
 Dada wa Bw Harusi wakiwa na Fr Mroso.

 Maharusi wakiingia kanisani.
 Baba na mama wa Bibi harusi.
 Wakila kiapo.
 Mpangilio wa kila meza ukumbini ni kama hivi, na kila meza ilikuwa na keki na shampein.
 Mpambaji wa viwango , Mama matungwa, siku zote wanasema ukitaka vizuri  kubali kugarlilipa amia,asilimia ya wengi wanapeda vizuri hawataki kuvigharamia, mwisho wa siku mambo yakiharibika inakuwa lawama, anasahau alicholipia ndio alichopata.
 Maharusi walipendeza sana.
 Hapana chezea dada wa bw harusi, ni watu wa mikakati na mipango.DADA WA VIWANGO.
 Wazazi wa bi harusi wakiingia ukumbini.
 Kaka mtu na mkodomi.
 Hiyo keki.
 Hawa wadada wakiingia kwa madaha na kujiamini.
 Wakaka na wadada,si mchezo...
 BOJO BASHEMELA,.....
 Wageni walipendeza sana.
 Ukakatwa utepe.
 Mwenyekiti akamkaribisha Padre afungue kwa sala.
 Wewe ni chaguo langu.
 Mc Rutakwa akiongoza shughuli nzima.
 Ikawashwa mishumaa ya keki.
 KEki ikakatwa.
 Kaa mme wangu nikulishe.
 Nyie nao mjilishe.
 Mkao wa meza na watu waliopo inapendeza.
 KILA MEZA ZIKAKATWA KEKI.
 Patrick akitabasamu.

 Bi Farida Kassimu akicheka na camera yetu.
 Dada wote wakapewa keki na maarusi kwa kutambua mchango wao mkubwa kufanikisha harusi.

 Fr Deo akifurahia harusi ya  dada yake alieolewa.
 Keki kwa kamati ya maandalizi.
 Edrick Mulima na mkewe.
 Shampeni zikafunguliwa, kila meza.
 Mrs Jamco na mama Ailen.
 Bi Libelatha Basheleka akiwa na sharifa karwani.
 Kifamilia zaidi.
 Wagibona Jamcoblog.....
 Fr Mroso akitoa neno.
 Kwata ebikwato, mambo ya mila na desturi za muhaya.
 Akavishwa bi harusi.
 Dada mkubwa akipeleka zawadi zake.
 Mama wa bi harusi akipeleka zawadi.

 DADA MKUBWA AKIPOKEA ZAWADI.
 Dada mkubwa baada ya kukabidhiwa zawadi nae kwa upendo mkubwa akawapa maharusi, huyu dada kweli anaupendo, kitu pesa  kupewa na wewe ukatoa ni wachache.
 Kikaombewa chakula.
 Karibu mke wangu.
 Karibu mme wangu.
 Kijana kutoka   biharamulo akiimba wimbo uliowainua wenge kwenye viti,Mke anunuliwi dukani, na Mme hanunuliwi dukani.
 Mc Rutakwa akijimwaga.
JAMCOBUKOBA.BLOGSPOT.COM inawapongeza kwa kuanza maisha mapya ya ndoa.

No comments:

Post a Comment