Tuesday 6 January 2015

MA GERARDINA FELIX MBONEKO AZIKWA NYUMBANI KWAKE KANYIGO BUKOBA.


 Jeneza la mwili wa marehemu Ma Gerardina Felix Mboneko .
 Wanafamilia.
 Omurangira Rugaibura akiwa na wanafamilia wakati wa ibada ya mazishi.
 Mama Singh akiwa katika majonzi.
 Bw Ben Kataruga akiteta na Bw Deo Rugaibura.
 Mwenye Tshirt ya mistari Bw Divo Rugaibura akiwa katika ibada ya mazishi.
 Padre akiendelea na misa ya mazishi.
 Wakati wa kutoa heshima za mwisho.
 Mume wa marehemu Doctor Mboneko akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu mke wake.

 Mama Singh akifunika sura ya marehemu baada ya watu kutoa heshima za mwisho.
 Mwili ukipelekwa eneo la maziko.
 Ulitoka mavumbini na utarudi mavumbini, ni wakati mgumu sana kwa ndugu , jamaa na marafiki.
 Watoto wa marehemu.
Jamcoblog inawapa pole ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu,mungu awape subira na uvumilivu.

No comments:

Post a Comment