Monday 2 March 2015

LORI LENYE SHEHENA YA NGANO LAPATA AJARI MBAYA MAENEO YA KYETEMA BUKOBA

 Ajari mbaya imetokea maeneo ya Kyetema, Ni lori kubwa liliokuwa limebeba shehena ya ngano liliacha njia na kupinduka.kwa mujibu wa maelezo ya kijana alikataa kutaja jina lake aliekuwa maeneo ya ajari alisema dereva wa lori alikuwa mwendo kasi na alishindwa kukata kona na kujikuta akipinduka.
 Kichwa cha gari kilichoinuliwa.
 Baadhi ya mifuko ilipasuka.
 Mzigo ukiwekwa kwenye gari nyingine.
 Mmoja wa wahusika wa mzigo uliokuwa umepakiwa na gari akiwasiliana na wenzake.
 Ni mmoja wa kijana anaeendesha gari maalum la kuinua gari iliyopata ajari.
 Wananchi wanaoishi maeneo ya ajari  wakiangalia.
Ni  wananchi waliokuwa wakipita eneo la ajari,walilazimika  kusimama na kujionea hali halisi.

No comments:

Post a Comment