Monday 21 April 2014

KAPOTIVE STAR SINGERS NA FLORA MBASHA WAITEKA BUKOBA TAMASHA LA PASAKA,KILA ALIEINGIA UKUMBI KINYWAJI CHA CLIMAX BURE

 Kwa hakika katika kusherekea Pasaka wakazi wa Bukoba na vitogoji vyake walipata Burudani ya aina yake kutoka kwa kundi la Kapotive star Singers wakisindikizwa na kundi zima la Flora Mbasha.Huku watu wakiburudika na kinywaji cha Climax kilichokuwa kikitolewa mlangoni unapoingia.
 Flora Mbasha akiwa na mme wake E. Mbasha na vijana wao wakitoa burudani
 Hakika Climax ni kinywaji safi kinachochukua kasi ya ajabu na kukubarika kila mahara
 Mwenyekiti na mratibu mkuu wa Tamasha Ndugu Endrew Kagya akiwakaribisha wageni na kuwashukuru kwa kjitokeza kwa wingi
 Mgeni rasmi  Bi Path Visram  mkazi wa Bukoba lakini anaeishi Uingereza akikaribishwa na Baba Askofu Methodius Kilain ambae ni mlezi wa kundi la Kapotive Star Singers
 Climax ndio mpango mzima kila meza
 Emanuel  Mbasha akipata kinywaji cha Climax
 Bw Rahim wakala na msambazaji wa kinywaji cha Climax Mkoa wea Kagera kinywaji kisicho na kilevi
 Wakazi waliojitokeza kwa wingi katika ukumbi wa Lina's wenye muonekano mpya
 Wana Kapotive wakisoma risala mbele ya mgeni rasmi na kikubwa hapo wanahitaji  vifaa vya matangozo na kuanzisha studio ya kurekodi
 Bi Path Visram ambae ni mgeni rasmi ambae amehaidi kuwanunulia Kapotive vyombo vya matangazo ili waweze kufungua studio
 Doctor Remmy sambamba na family akifuatilia burudani
 Dj Max akihakikisha mitambo ya matangazo inakwenda sawa
 KILA MTU NA KINYWAJI CHA Climax juuuuuu
 Climax si mchezooooo
 Flora Mbasha katika hisia kali
 Chezea dada Nyamisi weweee
 Mwimbaji Denis  kijana mahili sana anapokuwa jukwaani wa Kapotive
 Flora Mbasha akicheza na watoto jukwaani
 Watoto wakicheka na camera yetu
Hakika ilikuwa  ilikuwa na burudani shadidaaaaa

No comments:

Post a Comment