Monday 21 April 2014

USIKU WA PASAKA NDANI YA LINA'S, EXTRA BONGO WAPAGAWISHA WAPENZI WA DANSI BUKOBA

 Ali Choki Mzee wa Farasi
 Banza Stone katika hisia kali
 Mzee Ali Choki akiwaburudisha mashabiki wa Dansi
 Mtu mtata Jerry siku zote Full vituko
 Wadada wakishambulia jukwaa
 Gsmart ndani ya nyumba
 Kulia Mzee Kabantega akishuhudia mwenyewe
 Imekuaje ikawa hiviiiiiiiii........ Mc Mbaraka akihoji kwa watu wake wa karibu
 ILIKUWA NI PATASHIKAAAA......
 Mama  Fulani akionyesha ujuzi katika kukata mauno
 Mtata Jerry
 Mtu mzima   Mbwana  akimwaga radhi
 Vijana wakionyesha ujuzi katika kusakata dansi
 Pajero katika usiku wa Pasaka
Baba na Mama Deo Rugaibura full maloveee ndani ya Lina's, huku Beaty Nangai akifanya kupendana kwa whassap.

No comments:

Post a Comment