Monday 10 November 2014

TIGO WAVUNJA REKODI YA USAJIRI WA LINE MPYA ZA SIMU BUKOBA,ORIGINAL COMEDY WAACHA WATU HOI KWA VICHEKO NA MBAVU KUUMA.


Balozi wa Tigo Joti(wa kwanza kushoto)akiwa amevaa mfano wa sare za jeshi la polisi,alilazimika kuzivua jukwaani baada ya kukutwa akicheza sebene na mavazi hayo ya heshima.Ilikuwa ni moja ya mchezo uliovutia mashabiki rukuki walifurika katika uwanja wa Kaitaba na kufurahishwa na kundi zima la original comedy,Tigo walivunja rekodi kwa watu wengi kujiunga na mtandao wa Tigo katika Manispaa ya Bukoba.
Basi hili ni kama vile umeingia katika ofisi za Tigo, zinapatikana huduma zote.
Wadada wa Tigo wakitoa burudani.
Hawa jamaa usiombe kukutana nao una matatizo ,lazima watengue msimamo wako.

Wanahabari wako busy,hapana chezea Tigo.
Umati mkubwa wa watu waliojitokeza Kaitaba.
Ilikuwa poa sana.
Kushoto ni meneja masoko wa Tigo kanda ya ziwa akifuatilia shughuri kwa makini.
Msanii Linex akiwapagawisha.
Masanja akifanya yake.





Bepari la kihaya likafanya yake,Mpoki ni noma.
Patamu hapooo.
Mwana FA NAE AKAFANYA YAKE, TIGO MNATISHA SANAAAA.
+Tumia mtandao wa Tigo kwa uhakika zaidi.
Mc Jerry akiwa na Blogger Fau.

No comments:

Post a Comment