Sunday 9 November 2014

TIGO KUFANYA TAMASHA KUBWA LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA,ORIGINAL COMEDY,NA WASANII KIBAO KUTOA BURUDANI.

 Ni stage itakayotumika kwa ajiri ya wasanii kutumbuiza katika uwanja wa Kaitaba leo 9-11-2014.
 Maandalizi yakiendelea.
 Wasanii wa kundi la Original Comedy wakiwa katika studio za Kasibante redio leo.
 Seki Mkurugenzi wa kundi la Original comedy akiongea na wapenzi kupitia redio kasibante.
 Mpoki akironga redioni.
 Joti.
 Linex nae atatumbuiza.
 Masanja akiwa na mpiga picha wa Jamco video production Bi Asia.
 Mwana Fa nae atawasha moto mwenye T shirt nyeusi.
 Wahi kaitaba wewe ulie Bukoba ni balaaa.
Kiingirio ni line yako ya Tigo yenye muda wa maongezi wa shilingi elfu moja tu.

No comments:

Post a Comment