Tuesday 9 July 2013

KAGASHEKI CUP: NSHAMBYA 0 vs BILELE 2, TIMU YA USWAZ YACHINJA MTU - FIKIRI DAVID AKITUPIA ZOTE MBILI!!


Wachezaji wa Bilele wakishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 39 kupitia kwa mchezaji wao matata Fikiri David
Furaha za ushindi hapa baada ya kuizabua bao la pili dakika 42 kipindi cha kwanza na kupitia mchezaji huyo huyo Fikiri mwenye namba 10 mgongoni.

Wachezaji wa Nshambya Hoi!!


Mashabiki wa Bilele maarufu timu ya Uswaz kwenye jukwaa la Balimi hapakutosha!!!

Wadau!! wakifurahia baada ya timu yao kushinda jioni hii kwenye uwanja wa Kaitaba kwenye kipute cha Kagasheki Cup!


Wadau wakifatilia kwa karibu soka na hapa ni wenye timu ya Bilele wakitupia macho

Mchezaji wa Bilele akiangalia kama anaweza kuwatoka wachezaji wa Nshambya















Dadaz nao walikuwepo kuonesha ushabiki wao kwa timu yao ya Bilele!!!










Licha ya Timu ya Nshambya kufungwa bao hawakukata tamaa kipindi cha pili walifanya vyema japo hawakuweza kuziona nyavu za timu ya Bilele

Hapa wakipongezana na kuamshana kuanza kipindi cha pili


Viongozi wakifatilia soka leo hii Kaitaba

Kulia ni Haruna nae alikuwepo leo kufatilia soka la Kagasheki Cup












No comments:

Post a Comment