Leo katika swala ya adhuhuri msikiti wa ijumaa bukoba mjini
shekhe kakweke amewataka waislamu mwezi mtukufu kumcha mwenyezi mungu, kuachana na maovu,na waumini watumie mwezi huu kutoa swadaka zao kwa ajili ya kusaidia shule ya fauz,ili watoto waweze kusoma.
waumini wa kiislamu siku ya kwanza ya mfungo wa ramadhani
rahimu kabyemela akiwaanatoka msikitini leo
waumini wakisikiliza mawaidha
badru kichwabuta akiwa msikitini leo
afande nae akiwa ameuanza mwezi wa ramadhani leo hii
akina mama kipindi cha mwezi wa ramadhani hujitanda nguo ndefu na za heshima kustiri maungo yao
alhaji kagire akisalimiana na mwenzake wakitoka kuswali leo
ni kawaida mwezi wa ramadhani kukuta maeneo mengi ya mjini wakipika vitumbua kwa ajili ya kufuturu.na huyu ni bi ashira rutu akiwa maeneo ya soko kuu kwa mushamu
ni vitamu hivyoo..
abdu kagasheki akinunua vitumbua leo kwa ajili ya kufuturu
tupe vitumbua mama..
Gulamu na bingwa wakisaubiri kununua vitumbua, maeneo ya kwa mushamu soko kuu bukoba
No comments:
Post a Comment