Monday 15 July 2013

MKUTANO WA HADHARA WA MKOA WA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ULIOFANYIKA LEO KWENYE UWANJA WA MAYUNGA (UHURU PLATFORM). MH. MAKAMU M/KITI CHADEMA KANDA YA ZIWA, MH. EZEKIEL WENJE NA MBUNGE WA VITI MAALUM C.L RWAMULAZA ..WAFUNIKA!!!

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) kushoto akifurahia burudani ya ngoma iliyotolewa na kikundi cha ngoma cha bukoba cha RUGOLOILE
Kama kawaida umati wa watu hapa Platform!!
Kikundi cha Ngoma cha Rugoloile kikiendelea kutoa burudani
Ngoma ya Kihaya hapa umefika kwao!!!
Karibu mkuu!!! Karibu Bukoba!

kikundi cha Ngoma cha Rugoloile kikitoa Burudani kuwakaribisha wageni
Burudani ikasogea meza kuu..
Peopleeeez!!!
Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza akiteta jambo na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje

Kiongozi akitoa Hotuba yake hapa
Mh. Makamu M/Mwenyekiti (CHADEMA) Kanda ya Ziwa ambaye leo hii amezungumza akichukua nafasi ya Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare na hapa alikuwa  akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Bukoba leo hii kwenye uwanja wa Mayunga (Uhuru Platform).  Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare hakuwepo kutokana na kuugua hivyo afya yake haikumruhusu kuudhulia mkutano huu.





Mr. Valelian kazini leo hii..

.

Peopleeee!!!...
Kwa makini sana akisikiliza Hotuba
Mama ambaye jina lake halikuweza kupatikana haraka akisikiliza Hotuba ya Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza
Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza
Mbunge wa Viti Maalum Mama C.L. Rwamulaza akitoa hotuba leo
People's!!!

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform kumbuka Mh. Wenje ni tangu mwaka 2011 ndiyo ilikuwa mara yake mwisho kuja hapa.




1 comment:

  1. Nakupongeza sana kwa kuchukua hili tukio bila upendeleo wowote ikizingatiwa kuwa wewe na "swahiba" ni "damu damu" Ndivyo chombo cha habari kinavyopaswa kuendeshwa. Kwa mwenendo huu si mimi tu bali wapinzani na wasioshabikia upinzani watakuwa wafuatiliaji wa hii Blog

    ReplyDelete