Sunday 9 February 2014

KAGASHEKI ASEMA KIKUBWA NI KUTATUA KERO ZA WANANCHI NA MAENDELEO

 Katika barabara haiyo, wananchi wamejitolea katika mazingira yao kupiga mawe na kupasua miamba, wakichimba makorongo kwa kuweka mitaro ya kupitisha maji, ilhali wakiweka vijana wenye kupasua mawe na kuwalipa, lakini wanakabiliwa na ukosefu wa fedha za kumalizia ili kuhitimisha ndoto zao.
 Picha juu na chini Mh mbunge wa jimbo la Bukoba mjini BALOZI KHAMIS KAGASHEKI akiangalia fundi anayepasua miamba katika barabara hiyo.

 Picha juu Balozi Kagasheki akikabidhi msaada wa mil 2 kwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa barabara ambapo wamenuia kutumia baadhi ya mawe wanayopasua kutengeneza barabara hiyo.

 Picha juu ni gari ya mbunge Kagasheki ikipitia katika barabara ya inayoanza kutengenezwa na wananchi na chini ni mwanzo wa barabara hiyo eneo la Kashai, ambapo Kagasheki amewasihi kuandaa bajeti na mpango kazi ili naye aone jinsi ya kuchangia.

No comments:

Post a Comment